Category

HABARI KIBAJUNI

Home » HABARI KIBAJUNI

Bajuni youth gathering

 -  • Sponsored post

A big opportunity to bring together the Bajuni youth. We would like to see more of similar activities. We would like to hear your comments and feedback More »

Mabadiliko ndio kitu pekee kisichobadilika.

 - 

Abdulkadir A. Mohamed Ulimwengu wa Leo mabadiliko ni ya haraka na ya athiri uchumi, Mila desturi na miondoko ya maisha . Kesho watoto wetu watafanya kazi vipi na kujimudu kimaisha hatuna miundo mbinu yake tayari kuwarithisha Leo . Waliyoishi zama za waraka kus... More »

THE SWAHILI PEOPLE

 - 

The Swahili are a mixed group of people speaking closely related forms of Bantu speech, living on islands and coastal areas of East Africa from Brava (Baraawe), Somalia, to Kilwa, Mozambique and the Comoro Islands.  Not all the dialects are mutually intelligib... More »

Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

 - 

Fidel Castro, kiongozi wa zamani wa Cuba aliyeongoza mapinduzi ya Kikomunisti, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90, kakake ametangaza. “Amiri jeshi mkuu wa mapinduzi ya Cuba alifariki dunia mwendo wa saa 22:29 usiku huu (03:29 GMT Jumamosi),” Rais Raul C... More »

Titi la mama

 - 

TITI LA MAMA Titi la mama nitamu,hata likiwa la mbwa, Kiswahili naazimu,sifayo iliyofumbwa, Kwa wasiokufahamu,niimbe ilivyo kubwa, Toka kama mlizamu, funika palipozibwa, Titile mama litamu ,Jingine halishi hamu. Lugha yangu ya uchocho,hata sasa nimekua, Changu... More »

Yemen:Serikali hupinga madhungumudho na waasi

 - 

Serikali ya Yemen iliyoko uhamishoni, haitakubali kufanya madhungumdho ya amani na vanamgambo wa Houthi, hadi pale vanamgambo hao vatakapotekeledha maafikiano ya baradha la usalama la umoja wa mataifa. Miongoni wa muafaka huo, ni kuondoka kutoka kachika muyi v... More »

Kipindupindu chavaua raia 15 wa Burundi

 - 

Vakimbidhi 15 va Burundi, vamefariki kutokana na ugonjwa wa kipindupindu, baada ya kukimbilia usalama vao itini Tanzania kwa mashua wakitokea iini wavo Burundi. Hayo ni kwa mujibu wa mashirika ya vatoaji misaada. Inasemekana kuwa vengine kadhaa vanaugua ugonjw... More »

yifunde Kibbajuni uvafundishe na vengine

 - 

Hachutakiwi chuve wachocho chunapoifuna lugha. Kile chunachofahamu chuvamegee na vengine ili kuvasaidia kuwa bora dhaidi. Labda hufaa nitoe mfano uliotokea hivi karibuni huko Uingeredha. Vabunge wa Bunge la Uingeredha ambao ni veledi wa lugha ya Kiingeredha ha... More »

Mahojiano na Mhe Alhaj Ali Hassan Mwinyi

 - 

Katika mahojiano yake na mwandishi wa habari yaliyofanyika tarehe 11/05/2015 kuhusu Kiswahili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alisema kuwa inaaminika kuwa Kiswahili ni lugha ya asili ya Afrika. Hii ni lugha inayozungumzwa na watu wengi zaidi kusini mwa Jangwa la Sahar... More »