Category

HABARI KIBAJUNI

Home » HABARI KIBAJUNI

Ba­juni youth gath­er­ing

 -  • Sponsored post

A big op­por­tu­nity to bring to­gether the Ba­juni youth. We would like to see more of sim­i­lar ac­tiv­i­ties. We would like to hear your com­ments and feed­back More »

Mabadi­liko ndio kitu pe­kee kisi­chobadi­lika.

 - 

Ab­dulka­dir A. Mo­hamed Ulimwengu wa Leo mabadi­liko ni ya haraka na ya athiri uchumi, Mila des­turi na mion­doko ya maisha . Kesho wa­toto wetu watafanya kazi vipi na ku­jimudu ki­maisha hatuna mi­undo mbinu yake tayari kuwarithisha Leo . Waliy­oishi zama za waraka kus... More »

THE SWAHILI PEO­PLE

 - 

The Swahili are a mixed group of peo­ple speak­ing closely re­lated forms of Bantu speech, liv­ing on is­lands and coastal ar­eas of East Africa from Brava (Baraawe), So­ma­lia, to Kilwa, Mozam­bique and the Co­moro Is­lands.  Not all the di­alects are mu­tu­ally in­tel­li­gib... More »


Fi­del Cas­tro afariki dunia akiwa na mi­aka 90

 - 

Fi­del Cas­tro, kion­gozi wa za­mani wa Cuba aliyeon­goza mapin­duzi ya Kiko­mu­nisti, ame­fariki dunia akiwa na umri wa mi­aka 90, kakake ametangaza. “Amiri jeshi mkuu wa mapin­duzi ya Cuba al­i­fariki dunia mwendo wa saa 22:29 usiku huu (03:29 GMT Ju­mamosi),” Rais Raul C... More »

Titi la mama

 - 

TITI LA MAMA Titi la mama ni­tamu,hata likiwa la mbwa, Kiswahili naaz­imu,sifayo iliy­ofumbwa, Kwa wa­siok­u­fa­hamu,ni­imbe ilivyo kubwa, Toka kama ml­izamu, fu­nika palipoz­ibwa, Titile mama litamu ,Jingine hal­ishi hamu. Lugha yangu ya ucho­cho,hata sasa nimekua, Changu... More »

Yemen:Serikali hupinga mad­hungu­mudho na waasi

 - 

Serikali ya Yemen iliyoko uhamis­honi, haitakubali ku­fanya mad­hungumdho ya amani na vanamgambo wa Houthi, hadi pale vanamgambo hao vatakapotekeledha maafikiano ya baradha la us­alama la umoja wa mataifa. Mion­goni wa muafaka huo, ni kuon­doka ku­toka kachika muyi v... More »

Kipindupindu chavaua raia 15 wa Bu­rundi

 - 

Vakim­bidhi 15 va Bu­rundi, vame­fariki ku­tokana na ugonjwa wa kipindupindu, baada ya kukim­bilia us­alama vao itini Tan­za­nia kwa mashua wak­i­tokea iini wavo Bu­rundi. Hayo ni kwa mu­jibu wa mashirika ya va­toaji mis­aada. Inase­mekana kuwa vengine kad­haa vanau­gua ugonjw... More »


yi­funde Kib­ba­juni uva­fundishe na vengine

 - 

Hachutakiwi chuve wa­cho­cho chu­napoi­funa lugha. Kile chu­na­chofa­hamu chu­vamegee na vengine ili ku­va­saidia kuwa bora dhaidi. Labda hu­faa ni­toe mfano uliotokea hivi kari­buni huko Uin­geredha. Vabunge wa Bunge la Uin­geredha am­bao ni veledi wa lugha ya Ki­in­geredha ha... More »

Ma­ho­jiano na Mhe Al­haj Ali Has­san Mwinyi

 - 

Katika ma­ho­jiano yake na mwan­dishi wa habari yaliy­ofanyika tarehe 11/​05/​2015 kuhusu Kiswahili, Mzee Ali Has­san Mwinyi alisema kuwa in­aaminika kuwa Kiswahili ni lugha ya asili ya Afrika. Hii ni lugha in­ay­ozungumzwa na watu wengi zaidi kusini mwa Jangwa la Sa­har... More »