August 2016
Titi la mama

TITI LA MAMA Titi la mama nitamu,hata likiwa la mbwa, Kiswahili naazimu,sifayo iliyofumbwa, Kwa wasiokufahamu,niimbe ilivyo kubwa, Toka kama mlizamu, funika palipozibwa, Titile mama litamu…


error: Content is protected !!