AF-SOOMAALI

John Kerry an­dazuru muyi wa Mo­gadishu


Waziri wa maswala ya ki­geni ntini Marekani John Kerry ame­wasili kachika muyi mkuu wa So­ma­lia Mo­gadishu am­bapo anakuchana na rais Has­san Sheikh Mo­hamud,viongdhi wa eneo la Afrika mashariki pamoya na mashirika ya ki­jamii.

Ni waziri wa kwanda wa ki­geni ku­toka Marekani ku­utem­be­lea muyi huo.

Kerry ataon­doka kchika uvan­jda wa ndege wa uyji huo unaolindwa sana.

Rais wa Somalia

Wiz­ara ya maswala ya ki­geni ntini Marekani hu­nataka ku­toa ujumbe kwa kundi la Al­shabaab kwamba hali­patii kisogo taifa la So­ma­lia.

Marekani ime­toa mamia ya madola ntini So­ma­lia kachika siku dha hivi kari­buni.

Ndege dhisokuwa na rubani dha Marekani dhimevaua vion­godhi kad­haa wa kundi la Al­shabaab.