Category

LANGUAGE

Home » CULTURE » LANGUAGE

THE SWAHILI PEOPLE

 - 

The Swahili are a mixed group of people speaking closely related forms of Bantu speech, living on islands and coastal areas of East Africa from Brava (Baraawe), Somalia, to Kilwa, Mozambique and the Comoro Islands.  Not all the dialects are mutually intelligib... More »

Titi la mama

 - 

TITI LA MAMA Titi la mama nitamu,hata likiwa la mbwa, Kiswahili naazimu,sifayo iliyofumbwa, Kwa wasiokufahamu,niimbe ilivyo kubwa, Toka kama mlizamu, funika palipozibwa, Titile mama litamu ,Jingine halishi hamu. Lugha yangu ya uchocho,hata sasa nimekua, Changu... More »

Jifunze Kiswahili uwafunze na wengine

 - 

Kinachosubiriwa ni kuwa na mipango thabiti  ya kukikuza katika medani za ufundishaji shuleni, uandishi  wa vitabu, matumizi yake katika vyombo vya habari kama redio, runinga na magazeti. Tunataka vyuo vya ualimu viwe na walimu waliobobea katika lugha na fasihi... More »

Jifunze Kiswahili uwafunze na wengine

 - 

HATUTAKIWI  tuwe wachoyo tunapojifunza lugha. Kile tunachofahamu tuwamegee na wengine ili kuwasaidia kuwa bora zaidi. Labda yafaa nitoe mfano uliotokea hivi karibuni huko Uingereza. Wabunge wa Bunge la Uingereza ambao ni weledi wa lugha ya Kiingereza hawaridhi... More »