AF-SOOMAALI

Maandamano mapya Baltimore Marekani Saa 4 zilizopita Mshirikishe mwenzak


Kumetokea maandamano mapya nchini Marekani kachika miji wa Baltimore kufuachia kifo cha kijana mweusi Freddie Gray aliyekufa kutokana na majeraha akiwa mikononi wa polisi. Mamia ya vachu vameandamana kachika michaa, wakionyesha ujasiri licha ya hali mbaya ya hewa iliyokuvepo.

Matokeo ya mwanzo ya uchunguzi wa polisi wa jinsi kijana wa miaka ishirini na tano mwenye asili ya weusi alivyou vava bado hayajawekwa hadharani.

Maandamano Baltimore

Mchechedhi wa haki dha binadamu, Mchungaji Al Sharpton, ameichisha mkutano mjini Baltimore ili kuimarisha uhusiano baina ya polisi na vanajamii.