Tag

#Tanzania

Home » Tanzania

yi­funde Kib­ba­juni uva­fundishe na vengine

 - 

Hachutakiwi chuve wa­cho­cho chu­napoi­funa lugha. Kile chu­na­chofa­hamu chu­vamegee na vengine ili ku­va­saidia kuwa bora dhaidi. Labda hu­faa ni­toe mfano uliotokea hivi kari­buni huko Uin­geredha. Vabunge wa Bunge la Uin­geredha am­bao ni veledi wa lugha ya Ki­in­geredha ha... More »

Ma­ho­jiano na Mhe Al­haj Ali Has­san Mwinyi

 - 

Katika ma­ho­jiano yake na mwan­dishi wa habari yaliy­ofanyika tarehe 11/​05/​2015 kuhusu Kiswahili, Mzee Ali Has­san Mwinyi alisema kuwa in­aaminika kuwa Kiswahili ni lugha ya asili ya Afrika. Hii ni lugha in­ay­ozungumzwa na watu wengi zaidi kusini mwa Jangwa la Sa­har... More »