Writer

Dr Munye

Yemen:Serikali hupinga mad­hungu­mudho na waasi

 - 

Serikali ya Yemen iliyoko uhamis­honi, haitakubali ku­fanya mad­hungumdho ya amani na vanamgambo wa Houthi, hadi pale vanamgambo hao vatakapotekeledha maafikiano ya baradha la us­alama la umoja wa mataifa. Mion­goni wa muafaka huo, ni kuon­doka ku­toka kachika muyi v... More »

Kipindupindu chavaua raia 15 wa Bu­rundi

 - 

Vakim­bidhi 15 va Bu­rundi, vame­fariki ku­tokana na ugonjwa wa kipindupindu, baada ya kukim­bilia us­alama vao itini Tan­za­nia kwa mashua wak­i­tokea iini wavo Bu­rundi. Hayo ni kwa mu­jibu wa mashirika ya va­toaji mis­aada. Inase­mekana kuwa vengine kad­haa vanau­gua ugonjw... More »


Ba­juni tra­di­tional dance “Kirumbidhi”(Stek Dance)

 - 

Kirumbidhi (Stek Dance) is the most pop­u­lar tra­di­tional sec­u­lar dance , in which two men move within a large cir­cle of on­look­ers , threat­en­ing each other usin styl­ized mo­tions with two large steks. Is a highly com­pet­i­tive stik dance which usu­ally oc­curs dur­ing... More »

John Kerry an­dazuru muyi wa Mo­gadishu

 - 

Waziri wa maswala ya ki­geni ntini Marekani John Kerry ame­wasili kachika muyi mkuu wa So­ma­lia Mo­gadishu am­bapo anakuchana na rais Has­san Sheikh Mo­hamud,viongdhi wa eneo la Afrika mashariki pamoya na mashirika ya ki­jamii. Ni waziri wa kwanda wa ki­geni ku­toka Mar... More »


Chovaaye (Twayi)

 - 

Wa jasi­irad weyn wax­ayna leeda­hay hal tu­ulo o ka kooban shan xafadood o la kala yraahdo : Iburini , Michikachi , Fi­radoni ,Omo , Kisiyu. Wax­aay caan ku tahay cee­lasheeda biyaha o laga qodo bu­ra­leyda cidda e xagga kon­fur barigeeda . Dadka jasi­iradaan deg­gan wax... More »