Tag

#Tanzania

Home » Tanzania

yifunde Kibbajuni uvafundishe na vengine

 - 

Hachutakiwi chuve wachocho chunapoifuna lugha. Kile chunachofahamu chuvamegee na vengine ili kuvasaidia kuwa bora dhaidi. Labda hufaa nitoe mfano uliotokea hivi karibuni huko Uingeredha. Vabunge wa Bunge la Uingeredha ambao ni veledi wa lugha ya Kiingeredha ha... More »

Mahojiano na Mhe Alhaj Ali Hassan Mwinyi

 - 

Katika mahojiano yake na mwandishi wa habari yaliyofanyika tarehe 11/05/2015 kuhusu Kiswahili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alisema kuwa inaaminika kuwa Kiswahili ni lugha ya asili ya Afrika. Hii ni lugha inayozungumzwa na watu wengi zaidi kusini mwa Jangwa la Sahar... More »