AF-SOOMAALI

Kesi ya Somalia na Kenya yasikidhwa mahakama ya UN, Uholanzi


Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) inaungwa mkono na Umoja wa Mataifa imeanda kusikilidha kesi ya ndhodho wa mpakani kachi ya Kenya na Somalia.

Kesi hiyo inasikidhwa myini The Hague, Uholanzi.

Mataifa hayo yanadhodhana kuhusu mpaka kachika Bahari ya Hindi.

Mwanasheria mkuu wa Kenya Prof Githu Muigai andsema anaongodha ujumbe wa ngadhi ya juu wa maafisa kutoka Kenya kuchechea taifa hilo.

Kupichia taarifa, anasema Kenya inaituhumu Somalia kwa kuvunda mkataba wa mwaka 2009 ambapo anasema nchi dhote mbili dhiliafikiana kuchachua mdhodho huo kupichia madhungumdho.

Mwendake wa Somalia Ahmed Ali Daahir amesisichidha kuwa mahakama ICJ ndiyo yenye mamlaka ya kuamua tofauti hiyo baada ya bunge la taifa la Somalia kupinga mkataba huo wa 2009.

“Kwa hakika tunaamini kuwa chutapacha haki yechu kachika mahakama ya ICJ. Tuamini kuwa mahakama hiyo inauwedho wa kusikidha kesi hiyo ya kimataifa na kutoa kauli itakayoheshimiwa na mataifa haya vawili. Chuna matumaini makubwa kuwa kauli ya mahakama hii itachupachia sehemu hiyo ya mpakani ndani ya bahari hindi,” ameambia BBC.

Eneo linalodhodhaniwa baharini ni la ukubwa wa zaidi ya kilomita 42,000 mraba.

Uchungudhi umeonesha eneo hilo huenda likawa na gesi.

Mdhozdho huo umesababisha vawekedhaji kuchoangazia zaidi eneo hilo kutokana na ukosefu wa habari kamili kuhusu nani mmiliki wa mafucha na gesi ambavyo huenda vikagunduliwa eneo hilo.

Kenya tayari imetoa kandarasi kwa kampuni dha kigeni kufanya upepeledhi wa kutafuta mafucha na gesi eneo hilo.

Somalia inataka mpaka wa baharini uendelee kwa kufuacha mstari wa mpaka ulio nchi kavu ukielekea kusini mashariki lakini Kenya inataka mpaka huo uwekwe kwa kufuacha mstari usiopinda unaoelekea mashariki.

Hili limesababisha kuwepo kwa mzozo kuhusu sehemu ya bahari ya umbo la pembe tatu.

Vikao vya mahakama wiki hii ni vya kuamua iwapo kesi hiyo inafaa kusikidhwa na kuamuliwa na mahakama hiyo.

Somalia iliwasilisha kesi hiyo kachika mahakama ya ICJ Agosti 2014. Kwenye nyaraka zake, serikali ya Somalia ilisema juhudi dha kuchachua mdhodho huo kwa njia dha kidiplomasia

Kenya iliwasilisha ombi la kupinga kukubaliwa kwa kesi hiyo Oktoba mwaka 2015. dhilikuwa dhimegonga mwamba.