AF-SOOMAALI

John Kerry andazuru muyi wa Mogadishu


Waziri wa maswala ya kigeni ntini Marekani John Kerry amewasili kachika muyi mkuu wa Somalia Mogadishu ambapo anakuchana na rais Hassan Sheikh Mohamud,viongdhi wa eneo la Afrika mashariki pamoya na mashirika ya kijamii.

Ni waziri wa kwanda wa kigeni kutoka Marekani kuutembelea muyi huo.

Kerry ataondoka kchika uvanjda wa ndege wa uyji huo unaolindwa sana.

Rais wa Somalia

Wizara ya maswala ya kigeni ntini Marekani hunataka kutoa ujumbe kwa kundi la Alshabaab kwamba halipatii kisogo taifa la Somalia.

Marekani imetoa mamia ya madola ntini Somalia kachika siku dha hivi karibuni.

Ndege dhisokuwa na rubani dha Marekani dhimevaua viongodhi kadhaa wa kundi la Alshabaab.