Writer

Dr Munye

Yemen:Serikali hupinga madhungumudho na waasi

 - 

Serikali ya Yemen iliyoko uhamishoni, haitakubali kufanya madhungumdho ya amani na vanamgambo wa Houthi, hadi pale vanamgambo hao vatakapotekeledha maafikiano ya baradha la usalama la umoja wa mataifa. Miongoni wa muafaka huo, ni kuondoka kutoka kachika muyi v... More »

Kipindupindu chavaua raia 15 wa Burundi

 - 

Vakimbidhi 15 va Burundi, vamefariki kutokana na ugonjwa wa kipindupindu, baada ya kukimbilia usalama vao itini Tanzania kwa mashua wakitokea iini wavo Burundi. Hayo ni kwa mujibu wa mashirika ya vatoaji misaada. Inasemekana kuwa vengine kadhaa vanaugua ugonjw... More »

Bajuni traditional dance “Kirumbidhi”(Stek Dance)

 - 

Kirumbidhi (Stek Dance) is the most popular traditional secular dance , in which two men move within a large circle of onlookers , threatening each other usin stylized motions with two large steks. Is a highly competitive stik dance which usually occurs during... More »

John Kerry andazuru muyi wa Mogadishu

 - 

Waziri wa maswala ya kigeni ntini Marekani John Kerry amewasili kachika muyi mkuu wa Somalia Mogadishu ambapo anakuchana na rais Hassan Sheikh Mohamud,viongdhi wa eneo la Afrika mashariki pamoya na mashirika ya kijamii. Ni waziri wa kwanda wa kigeni kutoka Mar... More »

Chovaaye (Twayi)

 - 

Wa jasiirad weyn waxayna leedahay hal tuulo o ka kooban shan xafadood o la kala yraahdo : Iburini , Michikachi , Firadoni ,Omo , Kisiyu. Waxaay caan ku tahay ceelasheeda biyaha o laga qodo buraleyda cidda e xagga konfur barigeeda . Dadka jasiiradaan deggan wax... More »