May 2015


Jifunze Kiswahili uwafunze na wengine

HATUTAKIWI  tuwe wachoyo tunapojifunza lugha. Kile tunachofahamu tuwamegee na wengine ili kuwasaidia kuwa bora zaidi. Labda yafaa nitoe mfano uliotokea hivi karibuni huko Uingereza. Wabunge…